TUFUATE INSTA KWA KUBONYEZA HAPA
Wapiganaji wa kundi la Boko Haram wamewateka nyara wanawake 16 katika eneo la mashambani kaskazini mashariki mwa jimbo la Adamawa huko Sabon Garin Madagali.
Wakaazi wanasema kuwa wanawake hao walitekwa msituni walipokuwa wakitafuta kuni na kuvua samaki katika mto chini ya ulinzi wa vijana wawili wa kuweka usalama wanaolisaidia jeshi dhidi ya wapiganaji hao.
TUFUATILIE FACEBOOK KWA KUBONYEZA 'LIKE' HAPA CHINI.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Facebook Plugin by
BoazMwakasege
2 comments
m
Replywww.boazmwakasege.com
ReplyPost a Comment